Tamaa inawezaje kumdhuru mtu?

daxy Jr

Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
88
Reaction score
307
50 Cent alikuwa akimlipa mama mtoto wake $500,000 kwa mwaka (dola $40,000 kwa mwezi) kama matunzo ya mtoto wao, Ila baby-mama huyo akasema haitoshi!



Baada ya mvutano na 50, baby mama huyo akaamua kwenda kwenye mahakama ya familia kuomba nyongeza ya matunzo ya mtoto. Cha kushangaza mahakama iliamua 50 apunguze kiasi hicho hadi $6,700 kwa mwezi.

Pesa nyingi alizotoa 50 Cent kabla ya uamuzi wa mahakama zilitumiwa na baby-mama huyo kuboresha maisha yake binafsi na sio kwa malezi ya mtoto.
 
Duuh
 
Dah hivi viumbe tunavipenda lakini vikikugeuka daaah utaisoma namba
 
Mimi nilisha apa kwamba, haitokaa itokee nikampa mama mtoto wangu pesa ya matunzo wa mtoto.
Badala yake nitamchukua mtoto ili nimlee mimi mwenyewe (sababu sitaki kuona mtoto wangu analelewa na baba mwingine)
 
Mimi nilisha apa kwamba, haitokaa itokee nikampa mama mtoto wangu pesa ya matunzo wa mtoto.
Badala yake nitamchukua mtoto ili nimlee mimi mwenyewe (sababu sitaki kuona mtoto wangu analelewa na baba mwingine)
Tatizo mama anaweza kukataa kumchukua mtoto
 
Lea mtoto..

Kukimbia majukumu .. kiaina ndio Yanazaliwa yote hayo...!

Kila mtu asimame kwa wajibu wake...
Mmeleta kiumbe ..muwajibike kulea!
 
Nimejiridhisha mtoto ni wangu ila mama yake kakomaa nae mi nimegive up na ndo mtoto pekee wa kiume niliyenae.
Nenda ustawi ukapeleke mashtaka ya kukataliwa mwanao ambae unamuhitaji umlee wewe mwenyewe.
Tena ongezea kwamba hauridhishwi na malezi anayo pewa mwanao kwasababu halelewi katika misingi iliyo bora.
 
Sheria ni mpaka mtoto atimize miaka 7 ndiyo baba ana haki zote za kimchukua
Mkuu, kwani umewahi kutokewa na issue kama hii??
Maana nisije nikawa nabishana bure pasipo ulazima...🤨
 
Nimejiridhisha mtoto ni wangu ila mama yake kakomaa nae mi nimegive up na ndo mtoto pekee wa kiume niliyenae.
Kama una uhuru naye,na una uhakika anapata msingi unaostahili na kwamba akiwa kwako anaweza asipate kile anachostahili kutokana na mazingira yako,mwache huko kwa mama yake.Vinginevyo pambana mchukue mwanao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…