Tamaa inawezaje kumdhuru mtu?

Tamaa inawezaje kumdhuru mtu?

Mara mbili kwa watoto wangu wa kiume nlizaa na wanawake wawili
Ok, kwanza zipo sehemu mbili ambazo waweza kupeleka malakamiko yako ili uweze kupatiwa haki ya kukaa na mtoto. Kwanza ni ustawi wa jamiii na pili ni mahakamani.
Mahakama yoyote ya mwanzo, wilaya, hakimu mkazi hata mahakama kuu unaweza kupeleka mombi haya.
Na tofauti ya ustawi wa jamii na mahakamani ni kuwa mahakama wana amri wakati ustawi wa jamii hawana amri( order).
Kifungu cha 26( 2 ) cha Sheria ya mtoto, namba 21 ya 2009 kinasema kuwa ni vizuri mtoto aliye chini ya umri wa miaka saba akae na mama. Hata hivyo ni vema kufahamu kuwa kifungu hiki hakikusema ni lazima( shall) mtoto wa umri huo akae na mama.
Kifungu kinasema suala la mtoto chini ya umri wa miaka saba kukaa na mama ni dhana inayoweza kutozingatiwa (rebuttable presumption). Pia ni dhana inayoweza kutozingatiwa kwa maana kuwa zipo sababu ambazo mtoto chini ya umri huo inaweza kuamuliwa kukaa na baba au mtu mwingine yeyote ambaye ataonekana kufaa zaidi kuliko mama.
Kwahiyo lazima tuzingatie kuwa sio lazima mtoto chini ya umri wa miaka 7 kukaa na mama.
 
Back
Top Bottom