mi nakubaliana na mawazo yenu kuwa ni mawazo yenu.
KWANI unapokuwa na mtu....akakuumiza sana na huna namna ya kumwacha.... yeye hakupendi tena na WEWE pia humpendi tena...huwezi kumpenda mtu mwingine?Ukimpenda mtu mwingine itakuwaje TAMAA?
Mi hua nna mawazo tofauti kabisa. Kwanza sikubali kwamba eti mtu huwezi kupenda zaidi ya mtu mmoja kwa wakati mmoja. Unaweza! Na wala si tamaa, ni nature. Hii mentality ya kupenda mtu mmoja ni man-made na ndio maana most of the times inawashinda watu. (Hii tabia ya kuchanganya kiswahili na kingereza inani bore kama nini!)
I support you for your post,Hiyo kitu imeumbwa kwa kila kiumbe kiitwacho dume na hakuna tamaa ni urijali tu,kwani kuna mtu yeyote aliyewahi kuona mitamba ikipigana kugombea dume?Lakini yaweke madume japo mawili tu pamoja uone yatakavyotifuana.......
Mmmmmmh huu ukweli unauma!! Hebu ngoja nijaribu kuumeza kama nitaweza!!!!
:confused2::confused2::confused2::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:Mi hua nna mawazo tofauti kabisa. Kwanza sikubali kwamba eti mtu huwezi kupenda zaidi ya mtu mmoja kwa wakati mmoja. Unaweza! Na wala si tamaa, ni nature. Hii mentality ya kupenda mtu mmoja ni man-made na ndio maana most of the times inawashinda watu. (Hii tabia ya kuchanganya kiswahili na kingereza inani bore kama nini!)
Kakuambieni nani kuwa tamaa ndio hufanya watu kuwa na mahusiano nje ya yale walio nayo ( ndoa, uchumba n.k)??
Nachoka kusikia kila mara mkisema ...kapata mtu mwingine shauri ya tamaa. kwani binadamu kupenda mtu mwengine ni ajabu? Mi sidhani ni tamaa..au mnifafanulie tamaa maana yake nini.
Exactly ni tamaa ya kuwa na maisha ya mtu anayekuelewa vema anayesoma hisia zako na ambaye hakufokei... kwahiyo upendo wako kwa A unaweza ukafa na ukaanza kumpenda B.... lakini mara nyingi kumbe B alikuwa anakuvutia bila kuonyesha true colours baada ya kukaa nae unagundua kwamba kumbe B ni kama A sasa unaanza kumuangalia C....Tujiulize, mfano una mwanamke/mwanaume wa nje halafu siku unakaa unajiuliza "HIVI KWELI TAMAA NDO IMENIFANYA NIKUBALI KUWA NAE YULE?? MBONA HANA ALICHONITAMANISHA?? . . . . . HAPANA, SI KWELI. YULE ANAJUA KUSOMA HISIA ZANGU KULIKO HUYU WANGU, HALAFU HANIFOKEI, ANANISIKILIZA PIA, HUYU WANGU HANIFANYII HAYO YEYE AKIRUDI NYUMBANI AMESHALEWA"
Sio tamaa aisee. Unaweza ukapenda watu tofauti kutokana na mambo tofauti wanayokufanyia ambayo mwingine hakufanyii