Tamaa mbaya: Afumaniwa ndani ya gari...

Tamaa mbaya: Afumaniwa ndani ya gari...

Elfu 5 kwa siku inatosha kwa maisha ya kawaida. Tatizo siku hizi tumeacha kulima vibustani vilikua vinatusaidia kwa mbogamboga, sio kununua kila kitu sokoni.
 
Mimi ingenitokea kungechimbika nisingekua na mda wa kuulizana maswali ya kipolisi lazima zingepigwa kwanza tena saana,baada ya hapo mbele ya dereva taxi ingetoka talaka tatu cash.Hakuna mjadala hapo.Makosa yote naweza samehe lakini kwa hapo np.
 
Huyo mama hata pesa ya gesti aliitaka apewe, kwa hiyo kapata malipo yake + ile ya gesti bubu
mwanamke kauzu huyu
 
HERI YANGU MKE WANGU AKILA SUNGA LA BILA KUUNGA NDO ANAFURAHIA ZAIDI KULIKO MAPOCHOPOCHO. Nikiibiwa basi itakuwa sanbabu nyingine ila sio za hela
 
Jaman huo mchezo mbaya kwan huku kwetu tunduma kuna mtu amelipa gali kama adhabu ya kutembea na mke wa mtu tuwe makin tujihadhali na tamaa
 
hata kama shida zimezidi but too much, wamama wengine wachafu sana mbele ya hako kamalaika unafanya hivyo!! wala asijipe excuse mumewe hatoi matumizi ndo ufanye uchafu mbele ya kachanga!!!!! dunia laana tupu
 
du hiyo 5,000 kwa mwezi mzima =150,000
kima cha chini cha maafande ni bei gani?
hapohapo watoto waende shule,ndugu nao watake msaada!
ewe serikali angalia watumishi wako hasahasa hawa maafande
kwa hali hii rushwa haitaisha
 
Back
Top Bottom