Tamaa za madaraka mpaka mtu anafia madarakani tena kwa kuiba kura!

Tamaa za madaraka mpaka mtu anafia madarakani tena kwa kuiba kura!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Mtu unatamaa ya madaraka mpaka unaiba kura halafu unakufa kabla ya hata kustaafu. Maisha ni mafupi unaiba kura na miaka 70!

Eti halafu hujapumzika hata na familia yako. Ufisadi wote na wizi wote hauendi nao popote. Hayo ndiyo maisha tendeni haki, acheni katiba bora kwa watanzania na sio kunyanyasa watu.

Willam Lukuvi awe funzo
 
Back
Top Bottom