Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So sad kwani walilazimishwa, si wamejipeleka wenyewe kwa ujuha wao.so sad, Nawaombea wachomoke. yawezekana chanzo ikawa hali ya kimaisha imewafanya kuwa mapunda wa watu
Hao ni wa kucheka tu.Nimecheka na nimelia
Huyo anaening'inia unafikiri katoka salama. Mkao huo lazima wanamla ndogo, kasetiwa tayari kwa kuliwa.Unakuta mtu anakuchovya mtaro ukiwa unaona na huna la kumfanya! Bora ufe tu kuliko dhihaka hizo
“Chacha chacha sendi mane chacha wani yia yu donti sendi mane”
Unataka kuning'inizwa kama ng'ombe na weweMaishaa magumu mnoo jaman, hata mie nikipata mchongo wa kuwa Punda, najilipuaa tyuuh.
Madon wa Unga, mkujee kwangu nataka na mie hizo fursaaa.
Unamjua au?Da Fatma au macho yangu, yameona vibaya aiseeee
Unamjua au?
Usilie mwanaume jikaze kiume au ukiweza ongeza mme wa pili,Maishaa magumu mnoo jaman, hata mie nikipata mchongo wa kuwa Punda, najilipuaa tyuuh.
Madon wa Unga, mkujee kwangu nataka na mie hizo fursaaa.
Bongo nyoso,Huyo anaening'inia unafikiri katoka salama. Mkao huo lazima wanamla ndogo, kasetiwa tayari kwa kuliwa.