Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Kipindi hiki cha uchaguzi pesa zinamwagwa si mchezo ili kuhakikisha mama yule anapita kwenye uchaguzi mkuu japo hakuna anayeshindana naye.
Utu umewatoka wasanii na machawa wa ccm kujifanya hawaoni yanayoendelea nchini, damu za watu zinavyozidi kumwagika wao ndio kwaaaanza wanashangilia na kumuimbia nyimbo za mapambio kumsifu mama yule.
Kiukweli inasikitisha sana , wanaona watanzania wote wasiomsapoti mama yule na serikali yake wote hawana akili.
Mpaka viongozi wa jeshi wanatoka hadharani kukemea lakini machawa na wasanii wameziba masikio kwa utamu wa pesa wanaopata.
Wamejitoa kwenye lile kundi la mtanzania raia wa kawaida na kujipa u special fulani kwa tamaa za muda mfupi wa kampeni.
Huyu wanayempambania akishika tena madaraka hata na wao wenyewe watakiona cha mtema kuni. Wategemee tozo kila kona mpaka kwenye hizo social media zao, kazi zao .
Kwa kifupi wakae wakijua hizi pesa wanazopata kipindi hiki zitarudi tu kwa namna yoyote kwa yule mama .
Siku zote nguo ya kuazima haistili matako.