Tamaduni music (m lab).....

mujimali

Senior Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
190
Reaction score
116
habari zenu wanajamvi...
kwa wale wapenda hip hop sidhani kamakuna mtu hawajui hawa jamaa i.e tamaduni music..hawa jamaa nadhan ndo the best hip hop crew alive hapa bongo na nadhan ndo wenye wasanii bora kabisa wa hip hop hapa town

kwenye label hii i.e mlab utakutana na mtu kama nikki mbishi,one,songa,gheto ambassador,kadigo,azma nk chini ya producer duke,mujwahuki nk

Ni watu wenye movement ya kweli kwenye hip hop. wana mistari mizuri na iliyopangiliwa...ni hayo tuu
 
wanajitahidi lakini tabia ya kuigana style/kutumia style moja ya uandishi inawafanya wasubiri sana kwenye soko la muziki tz
 
Afu hip hop imebadilika siku hizi, hip hop si uandishi mzuri tu wa mistari!
 
Duke anawapoteza wakali kama One,One angepata usimamizi mzuri bongo tungekuwa na Ice prince wetu au M.I yupo level izo...kilinge kimegeuka kama maskani ya masela,duke anawapigia simu maDj kuwaletea usela mavi ndio kaiua Tamaduni.
 
wako vizuri, xema kwa mm naona kama crew ambayo ni kali hapa bongo ni WEUSI, coz kuanzia joh,nikki, bonta,lord eyes mpaka gnako wote wanajua kuandika na kucreate style tofautitofauti za uimbaji! ni mtazamo2 bandugu cna tatizo na tamaduni i lyk wat they do
 
tukanane kilinge new msasani club .. kila jumamosi saa nane mchana ....asante ni TAMADUNI MUZIK... MAPINDUZI YA MUZIKI WA HIP HOP...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…