Mtanzania Mkenya
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 238
- 387
Hahahah kweli?Si wanajifanya wao underground, waache waendelee kubaki kwenye ground
duhWanasema kwao Umaarufu wanaupiga marufuku
waambie waache ujinga wa kisenge!Wanasema wanafanya mziki for passion and not for fame and money.
Ila stereo alibadilika lakini amekwama..amekwamishwa na unity intertainment.
Ndio kina nani hao?
Jipangee bwana mdogoNdio Tamaduni,
Wameshika Tama,
Ndio mana wako duni,
Sjui nani anawapiga Tama,
Mpaka wanabaki kuwa duni,
Kunako Music.
#Keep It Up Bros.