Tamaduni Music tatizo lao ni nini?

Tamaduni Music tatizo lao ni nini?

Kama ulikuwa hujui, hawa jamaa wa Tamaduni Music wanakubalika sana nchini Kenya. Hiphop yao inaeleweka sana. Kuanzia Nikki Mbishi, One The Incredible, Songa, Stereo, P The Mc, Maalim Nash na wengine wengi.
Tatizo ni kuwa siwaoni wakiendelea kama wasanii wengine wa Tanzania wanavyoendelea licha ya kufanya hiphop ya ukweli. Nini kinachowakwamisha wakali hawa?
Hamna jamaa wanafanya sana na wanachakarika sana sema wadau wanaona kama muzik wanaoufanya hauna market wanawapotezea hawapati air tym ndo Shida ila hakuna jamaa wanafanya hip-hop bongo zaid ya hawa jamaa yani.
 
Kama wanataka kuendana na soko la mziki wa sasa...inabidi wabadilike, wasiache uandishi wao ila waboreshe midundo(beats), videos na waache ujuaji wa kijinga.
Hakuna ujuaji w kijinga... Wale wanajua.. Wa najua nguzo za utamaduni na wanazifuata.. Kutokana na ugumu Wa kuishi ktk msingi ya utamaduni... Mnawaona wajuaji Wa kijinga
 
Hakuna ujuaji w kijinga... Wale wanajua.. Wa najua nguzo za utamaduni na wanazifuata.. Kutokana na ugumu Wa kuishi ktk msingi ya utamaduni... Mnawaona wajuaji Wa kijinga
Wanajua nguzo wakati wanakufa njaa? Mi nawakubali sana pengine kuliko crew yeyote ya hip hop lakin ukweli jamaa wanazingua sana.
Wanachezea vipaji vyao.
 
Tamaduni bila kuni moto unawaka

Mnaoamini hawajitumi watoto mnakipaka

Wapo japo hawavumi ila jamaa wanaheshimika

Waandishi wa vina mzani na punch za uhakika

Hip hop ipo tamaduni japo hawapai kama mwewe

Kumbuka mke wa masikini siku zote kuwadi mumewe
 
Wanajua nguzo wakati wanakufa njaa? Mi nawakubali sana pengine kuliko crew yeyote ya hip hop lakin ukweli jamaa wanazingua sana.
Wanachezea vipaji vyao.
So wabane pua?...acheni jamanii wenzenu ndo wakufunzi wetu wale maana nkiwaskizaga huwaga nahis nipo kwenye darasa la mais ha haswaaa.
 
hawa jamaa wanakubalika sana kenya that y ngoma zao nyingi zinapatkana mdundo.com iliyopo kenya
 
I
Wapi SONGA huyu jamaa huwa hakosei
Son ga anakwambia
mapenzi yangu napenda tuwe private place
Upepo mzuri pasafi tupo High and fresh
Siwez kukuhonga private jet
Maisha magumu na unajua tunaheyitaji succès
Si unajua nipo simple boo
Huwa naskijliza rythimsoul siyo hip-hop tuu
Acha walete maneno kila wakati
Mimi bilan ww ni kama sentesi bila nafasi
Sijiwez nafanya sitelez na kama
Mapenzi ni mlima basi lengo langu ni ufike kileleni salama
Mapenzi yangu siyafichi kitaah kama we jalala basi nmesiz kichaa
We ni binti kifaa
Oooh https://jamii.app/JFUserGuide mapenz yangu hayatosh kwenye sixteen bars
 
Back
Top Bottom