hassandady
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 201
- 76
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Hahahah kweli?
Hamna jamaa wanafanya sana na wanachakarika sana sema wadau wanaona kama muzik wanaoufanya hauna market wanawapotezea hawapati air tym ndo Shida ila hakuna jamaa wanafanya hip-hop bongo zaid ya hawa jamaa yani.Kama ulikuwa hujui, hawa jamaa wa Tamaduni Music wanakubalika sana nchini Kenya. Hiphop yao inaeleweka sana. Kuanzia Nikki Mbishi, One The Incredible, Songa, Stereo, P The Mc, Maalim Nash na wengine wengi.
Tatizo ni kuwa siwaoni wakiendelea kama wasanii wengine wa Tanzania wanavyoendelea licha ya kufanya hiphop ya ukweli. Nini kinachowakwamisha wakali hawa?
Huwezi wajua kalale Mzee hahahahahahaaaaa subir ngololo na lupelaNdio kina nani hao?
#IamTamaduniDHF.. #KipazaTunachoSisikuwapenda tamaduni lazima uwe msikivu..
wanafanya kwa ajili ya "fan not fame" nawakubali sana
#IamTamaduniDHF
Hakuna ujuaji w kijinga... Wale wanajua.. Wa najua nguzo za utamaduni na wanazifuata.. Kutokana na ugumu Wa kuishi ktk msingi ya utamaduni... Mnawaona wajuaji Wa kijingaKama wanataka kuendana na soko la mziki wa sasa...inabidi wabadilike, wasiache uandishi wao ila waboreshe midundo(beats), videos na waache ujuaji wa kijinga.
Wanajua nguzo wakati wanakufa njaa? Mi nawakubali sana pengine kuliko crew yeyote ya hip hop lakin ukweli jamaa wanazingua sana.Hakuna ujuaji w kijinga... Wale wanajua.. Wa najua nguzo za utamaduni na wanazifuata.. Kutokana na ugumu Wa kuishi ktk msingi ya utamaduni... Mnawaona wajuaji Wa kijinga
oyooooo...Jipangee bwana mdogo
kabla sijakupa kisogo
Huna kitu we ni cho**
Vina vyaki toto toto
Jiangalie nisije kupa mkongoto
hahahahahaaHuwezi wajua kalale Mzee hahahahahahaaaaa subir ngololo na lupela
So wabane pua?...acheni jamanii wenzenu ndo wakufunzi wetu wale maana nkiwaskizaga huwaga nahis nipo kwenye darasa la mais ha haswaaa.Wanajua nguzo wakati wanakufa njaa? Mi nawakubali sana pengine kuliko crew yeyote ya hip hop lakin ukweli jamaa wanazingua sana.
Wanachezea vipaji vyao.
Yaah na anaelewa mwenyewehahahahahaa
akamsikilize DOMOndi sio!
Wapi SONGA huyu jamaa huwa hakoseiYaah na anaelewa mwenyewe
asiyehusika na hiphop, atoke-by nash mc a.k.a maalim nashNdio kina nani hao?
Son ga anakwambiaWapi SONGA huyu jamaa huwa hakosei