Mr SGR
Member
- Apr 8, 2021
- 60
- 38
Short thread! Wadau nimezikumbuka sana ngoma za Lunduno zilizokusanya wasanii wengi sana rappers katika movement ya Tamaduni music 2005-2015. Ngoma zao nyingi zilikuwa zinatoa darasa na kumpa mpambanaji hope kubwa katika kupambana.
Wasanii manguli kama Nikki mbishi, One the incredible, Sterio(Ukonga stand up), Songa, Gheto Ambassador, Nash MC, Shashow, maulo, Grace Matata na wasanii wengine kibao chini ya producers Duke Touchez, Mujwahuki.
Ngoma kali sana zilitoka chache kati ya hizo ni kama vile Classic material ft Fid q, Let it be, Mpaka mwisho, Incredible remix, Impecable, Kilengeni, Hisia na nyingine kibao.
Leo naomba kwa mwenye file la ngoma zote za Lunduno(Tamaduni) ashee nami au kama kuna site naweza kuzipata collection ya ngoma zao zote hao jamaa naomba mshee nami hapa kwenye huu uzi.
Kwa aliyeko Dar unaweza kunipa location tukameet ukanifyonzea haya mangoma kwa device yangu mambo yakawa mwake napatikana kwa 0757243944(Whatsapp)
(utapata posho ya supu). Hiphop is the realiness of reality- Kubanda