B Ben Jack Member Joined Apr 7, 2013 Posts 66 Reaction score 5 Apr 7, 2013 #1 Inakuwaa Poa kwa mdaa huu ukiwaskiza washakaji wa Tamadumi Muzk kama Songa#Nyimbo zake nying Tafuta#
Nyanidume JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 2,393 Reaction score 1,102 Apr 7, 2013 #2 Sina muda mchafu wa kusikiliza mipasho, hawana chochote cha maana wanachokiimba bali zimejaa kelele tu!
Sina muda mchafu wa kusikiliza mipasho, hawana chochote cha maana wanachokiimba bali zimejaa kelele tu!
B Ben Jack Member Joined Apr 7, 2013 Posts 66 Reaction score 5 Apr 7, 2013 Thread starter #3 Nyanidume said: Sina muda mchafu wa kusikiliza mipasho, hawana chochote cha maana wanachokiimba bali zimejaa kelele tu! Click to expand... haaaaah kakaaa unachekeshaaa HipHop n usikifu kama hautakii kaskizee Sbeneee@Halaaa Tamaduniii
Nyanidume said: Sina muda mchafu wa kusikiliza mipasho, hawana chochote cha maana wanachokiimba bali zimejaa kelele tu! Click to expand... haaaaah kakaaa unachekeshaaa HipHop n usikifu kama hautakii kaskizee Sbeneee@Halaaa Tamaduniii
gwandumi Senior Member Joined Oct 15, 2008 Posts 151 Reaction score 57 Apr 17, 2013 #4 Nyanidume said: Sina muda mchafu wa kusikiliza mipasho, hawana chochote cha maana wanachokiimba bali zimejaa kelele tu! Click to expand... Aha naona nyanidume unataka uume...:nono: ukikaa kimya utaonekana mwerevu hata kama u mpumbavu ni hatari kwa ndumba mnataka mchumba-Songa
Nyanidume said: Sina muda mchafu wa kusikiliza mipasho, hawana chochote cha maana wanachokiimba bali zimejaa kelele tu! Click to expand... Aha naona nyanidume unataka uume...:nono: ukikaa kimya utaonekana mwerevu hata kama u mpumbavu ni hatari kwa ndumba mnataka mchumba-Songa
A AmaniGK JF-Expert Member Joined Jan 10, 2008 Posts 1,163 Reaction score 400 Apr 17, 2013 #5 Nyani dume usiwafananishe tamaduni muziki na roma mkatoliki.huwezi kuniambia niki mbishi au maalim nash mc wanapiga kelele
Nyani dume usiwafananishe tamaduni muziki na roma mkatoliki.huwezi kuniambia niki mbishi au maalim nash mc wanapiga kelele
M millz Member Joined Apr 12, 2013 Posts 85 Reaction score 14 Apr 18, 2013 #6 mitihan 2 vina maka beti bora milele!
Maganga Mkweli JF-Expert Member Joined Jul 14, 2009 Posts 2,089 Reaction score 829 Apr 18, 2013 #7 Watawaelewa tu .. Hip hop 4 life