TamaDuni Muziki n Gumzo

TamaDuni Muziki n Gumzo

Sina muda mchafu wa kusikiliza mipasho, hawana chochote cha maana wanachokiimba bali zimejaa kelele tu!
 
Sina muda mchafu wa kusikiliza mipasho, hawana chochote cha maana wanachokiimba bali zimejaa kelele tu!

haaaaah kakaaa unachekeshaaa HipHop n usikifu kama hautakii kaskizee Sbeneee@Halaaa Tamaduniii
 
Sina muda mchafu wa kusikiliza mipasho, hawana chochote cha maana wanachokiimba bali zimejaa kelele tu!

Aha naona nyanidume unataka uume...:nono:
ukikaa kimya utaonekana mwerevu hata kama u mpumbavu
ni hatari kwa ndumba mnataka mchumba-Songa
 
Nyani dume usiwafananishe tamaduni muziki na roma mkatoliki.huwezi kuniambia niki mbishi au maalim nash mc wanapiga kelele
 
Back
Top Bottom