TTB watafaidika na kuutangaza zaidi utalii wetu, Fastjet watakuwa wanafanya "thank giving" kwa abiria wao, naamini walioshiriki hilo tamasha wapo wengine kwao ni mbeya mwanza arusha ambao wanapokuja likizo wanatumia usafiri wa fastjet au wakijua kuna fastjet basi wataweka booking waki plan kuja Tanzania.Hayo makampuni yatafaidika nini na huo ufadhili
TTB watafaidika na kuutangaza zaidi utalii wetu, Fastjet watakuwa wanafanya "thank giving" kwa abiria wao, naamini walioshiriki hilo tamasha wapo wengine kwao ni mbeya mwanza arusha ambao wanapokuja likizo wanatumia usafiri wa fastjet au wakijua kuna fastjet basi wataweka booking waki plan kuja Tanzania.
Vodacom nao vile vile hao watanzania waishio las vegas wanaongea na ndugu zao walioko huku na ni wateja wa voda, kwa tigo hapa natumia bundle ya tigo kuperuzi habari za diamond las vegas, hivyo diamond kwa namna nyingine anawaingizia pesa kwa sisi kufuatilia habari zake las vegas.
mpaka huko kuna buguruni?Nimeona tamasa la diamond las vegas marekani watu walikuwa wengi mno na mbanano ulikuwa mkubwa sana.
Ukumbi ulikuwa kama egesho la magari au kama ukumbi wa buguruni. Spika zilikuwa hafifu na mwanga haukuwa wa kutosha.
Diamond alikuwa peke yake hivyo ikamlazimu kucheza mwanzo mwisho sema dogo anamsuli wa nguvu lakini ilifika sehemu akazidiwa na joto ikabidi avue shati.
Naombeni mapromota wa majuu msiogope kusema mkwanja hautoshi ombeni msaada nyumbani. Naamini show kama ile wangeomba msaada mashirika kama fastjet ttb tanapa vodacom tigo yangetoa ufadhili angalau hata ticket za madansa demu wake na yule bodigadi wake.
Kumbe ile kuvua shati stejini huwa ni joto! Nilikua nafikiri ni swaga tu!!Nimeona tamasa la diamond las vegas marekani watu walikuwa wengi mno na mbanano ulikuwa mkubwa sana.
Ukumbi ulikuwa kama egesho la magari au kama ukumbi wa buguruni. Spika zilikuwa hafifu na mwanga haukuwa wa kutosha.
Diamond alikuwa peke yake hivyo ikamlazimu kucheza mwanzo mwisho sema dogo anamsuli wa nguvu lakini ilifika sehemu akazidiwa na joto ikabidi avue shati
Naombeni mapromota wa majuu msiogope kusema mkwanja hautoshi ombeni msaada nyumbani. Naamini show kama ile wangeomba msaada mashirika kama fastjet ttb tanapa vodacom tigo yangetoa ufadhili angalau hata ticket za madansa demu wake na yule bodigadi wake.
Nimetizama hiyo clip hapo juu promota anasema "was a one man show"Mleta mada nani kakusimulia Diamond alikwenda bila Madansa?
Nimeona tamasa la diamond las vegas marekani watu walikuwa wengi mno na mbanano ulikuwa mkubwa sana.
Ukumbi ulikuwa kama egesho la magari au kama ukumbi wa buguruni. Spika zilikuwa hafifu na mwanga haukuwa wa kutosha.
Diamond alikuwa peke yake hivyo ikamlazimu kucheza mwanzo mwisho sema dogo anamsuli wa nguvu lakini ilifika sehemu akazidiwa na joto ikabidi avue shati.
Naombeni mapromota wa majuu msiogope kusema mkwanja hautoshi ombeni msaada nyumbani. Naamini show kama ile wangeomba msaada mashirika kama fastjet ttb tanapa vodacom tigo yangetoa ufadhili angalau hata ticket za madansa demu wake na yule bodigadi wake.
Ni kweli anapeperusha bendera vizuri nategemea siku moja atakuwa kama RKelly au Michael Jackson akibadilisha stratety za kujitangaza na kufanya ziara. Anapopata mwaliko kama huo anatafuta na sponsor wengine, asitegemee mapromotor tu, mfano hii safari angeenda na madansa, wapiga picha, waandishi wa habari na hata washabiki kabisa. Naamini kama muda ukitolewa wa kutosha wapo watu wangependa kwenda Las Vegas japo kupaona pakoje.SAFI KABISA PEPERUSHA BENDERA KONA ZOTE ,TANZANIA WAIJUE
Alikua na madancer wake wawili.Nimetizama hiyo clip hapo juu promota anasema "was a one man show"
Nimetizama hiyo clip hapo juu promota anasema "was a one man show"