Nimeona tamasa la diamond las vegas marekani watu walikuwa wengi mno na mbanano ulikuwa mkubwa sana.
Ukumbi ulikuwa kama egesho la magari au kama ukumbi wa buguruni. Spika zilikuwa hafifu na mwanga haukuwa wa kutosha.
Diamond alikuwa peke yake hivyo ikamlazimu kucheza mwanzo mwisho sema dogo anamsuli wa nguvu lakini ilifika sehemu akazidiwa na joto ikabidi avue shati.
Naombeni mapromota wa majuu msiogope kusema mkwanja hautoshi ombeni msaada nyumbani. Naamini show kama ile wangeomba msaada mashirika kama fastjet ttb tanapa vodacom tigo yangetoa ufadhili angalau hata ticket za madansa demu wake na yule bodigadi wake.