Tamasha la leo 8.Aug.2026 Simba inahujumiwa kwenye Azam Tv

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,833
Reaction score
8,777
Katika kuonesha matukio ya uwanjani Leo hii Tarehe 8-8-2026 Azam TV wamezingua,sijui ni kwa bahati mbaya au makusudi.

Wamekua wanaonesha mahojiano Zaidi nje ya uwanja,badala ya kuonesha matukio ya ndani ya uwanja ili watu waweze kuona burudani za uwanjani na jinsi watu walivyojaa. Hali hii imekua ni tofauti na matasha ya Simba ya miaka iliyopita.

Tukubali tukatae uwanjani Kuna matukio mengi mazuri na ya kuvutia kuliko kuhoji watu Nje ya eneo la shughuli.
Kama sio hujuma basi aliepanga mtindo huo wa kuhoji watu zaidi nje ya uwanja ,amehusika kuwaharibia Simba sherehe husesan kwa watazamaji wa kwenye TV.

Kumbuka idadi ya watu na matukio ya burudani Yana enda duniani kote na Yana ujumbe maalumu katika medani za soka.

Yanaitangaza Simba na soka la Tanzania.
 
Katika kuonesha matukio ya uwanjani Leo hii Tarehe 8-8-2026 Azam TV wamezingua,sijui ni kwa bahati mbaya au makusudi.
Wamekua wanaonesha mahojiano Zaidi nje ya uwanja,badala ya kuonesha matukio ya ndani ya uwanja ili watu waweze kuona burudani za uwanjani na jinsi watu walivyojaa.
Hali hii imekua ni tofauti na matasha ya Simba ya miaka iliyopita.

Tafuta kazi ya kufanya mkuu
 
Sure masta.
Tunatambua Azam TV wana mchango mkubwa, ila kwa leo wamezingua pakubwa. Matukio muhimu hayaonyeshwi wao wanaleta porojo za sijui 'Sosho' sijui ujinga gani. Pumbavu kabisa.

Coverage kwenye matukio ya uwanjani katika tukio la Yanga day huwa la kiwango cha juu.

Ni muhimu kuwe na ushindani katika kuonyesha haya matukio na sio kumpa mtu mmoja ambaye anafanya ujinga tu.
 
Usajili wa kusuasua unatuchosha mashabiki kindakindaki, wazee au nakosea ? Yaan hata sikuwa nafatilia simba day, kumbe ni leo, angalieni tu, kwa mara ya kwanza tamasha limenipita
Naomba nitofautiane na wewe.
Simba wamefanya maingizo machache dirisha hili.

Simba walifanya usajili mkubwa dirisha dogo ambapo kwa zaidi ya 90% usajili huo umelipa.

Namna timu inavyocheza na hata kutwaa baadhi ya vikombe inaonyesha ni namna gani walifanya usajili bora dirisha dogo.
 
Katika kuonesha matukio ya uwanjani Leo hii Tarehe 8-8-2026 Azam TV wamezingua,sijui ni kwa bahati mbaya au makusudi.
Wamekua wanaonesha mahojiano Zaidi nje ya uwanja,badala ya kuonesha matukio ya ndani ya uwanja ili watu waweze kuona burudani za uwanjani na jinsi watu walivyojaa.
Hali hii imekua ni tofauti na matasha ya Simba ya miaka iliyopita.
Tukubali tukatae uwanjani Kuna matukio mengi mazuri na ya kuvutia kuliko kuhoji watu Nje ya eneo la shughuli.
Kama sio hujuma basi aliepanga mtindo huo wa kuhoji watu zaidi nje ya uwanja ,amehusika kuwaharibia Simba sherehe husesan kwa watazamaji wa kwenye TV.
Kumbuka idadi ya watu na matukio ya burudani Yana enda duniani kote na Yana ujumbe maalumu katika medani za soka.
Yanaitangaza Simba na soka la Tanzania.
Mbona tunaangalia matukio ya uwanja tu hapa
Nimeanza kuangalia saa 10 sijaona mahojiano
 
Waiboresha Simba tv ipatikane kwenye visimbuzi vyote ili iwe rahisi kupeleka mambo yao jinsi wanavyopenda, waache kutegemea Azam TV kwa kila kitu the same kwa Yanga, Azam ibaki kuonyesha mechi za ligi kuu
Mtoa mada anapenda kulalamika
 
Naomba nitofautiane na wewe.
Simba wamefanya maingizo machache dirisha hili.

Simba walifanya usajili mkubwa dirisha dogo ambapo kwa zaidi ya 90% usajili huo umelipa.

Namna timu inavyocheza na hata kutwaa baadhi ya vikombe inaonyesha ni namna gani walifanya usajili bora dirisha dogo.
Ngoja tuone, imani yangu haba
 
Back
Top Bottom