Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Azam TV wako hewaniKwani kivumbi tayari
Afadhali usajili wa kusuasua. Kuna wengine wamepigwa ban hakuna kusajili kisa janjajanja kama za Chifu Mangungo!!!Usajili wa kusuasua unatuchosha mashabiki kindakindaki, wazee au nakosea ? Yaan hata sikuwa nafatilia simba day, kumbe ni leo, angalieni tu, kwa mara ya kwanza tamasha limenipita
Tafuta kazi ya kufanya mkuuKatika kuonesha matukio ya uwanjani Leo hii Tarehe 8-8-2026 Azam TV wamezingua,sijui ni kwa bahati mbaya au makusudi.
Wamekua wanaonesha mahojiano Zaidi nje ya uwanja,badala ya kuonesha matukio ya ndani ya uwanja ili watu waweze kuona burudani za uwanjani na jinsi watu walivyojaa.
Hali hii imekua ni tofauti na matasha ya Simba ya miaka iliyopita.
Tukubali tukatae uwanjani Kuna matukio mengi mazuri na ya kuvutia kuliko kuhoji watu Nje ya eneo la shughuli.
Kama sio hujuma basi aliepanga mtindo huo wa kuhoji watu zaidi nje ya uwanja ,amehusika kuwaharibia Simba sherehe husesan kwa watazamaji wa kwenye TV.
Kumbuka idadi ya watu na matukio ya burudani Yana enda duniani kote na Yana ujumbe maalumu katika medani za soka.
Yanaitangaza Simba na soka la Tanzania.
Sure masta.Katika kuonesha matukio ya uwanjani Leo hii Tarehe 8-8-2026 Azam TV wamezingua,sijui ni kwa bahati mbaya au makusudi.
Wamekua wanaonesha mahojiano Zaidi nje ya uwanja,badala ya kuonesha matukio ya ndani ya uwanja ili watu waweze kuona burudani za uwanjani na jinsi watu walivyojaa.
Hali hii imekua ni tofauti na matasha ya Simba ya miaka iliyopita.
Tukubali tukatae uwanjani Kuna matukio mengi mazuri na ya kuvutia kuliko kuhoji watu Nje ya eneo la shughuli.
Kama sio hujuma basi aliepanga mtindo huo wa kuhoji watu zaidi nje ya uwanja ,amehusika kuwaharibia Simba sherehe husesan kwa watazamaji wa kwenye TV.
Kumbuka idadi ya watu na matukio ya burudani Yana enda duniani kote na Yana ujumbe maalumu katika medani za soka.
Yanaitangaza Simba na soka la Tanzania.
Wanafanya mashabiki tunakua wanyonge kwa usajili wao janjajanjaUsajili wa kusuasua unatuchosha mashabiki kindakindaki, wazee au nakosea ? Yaan hata sikuwa nafatilia simba day, kumbe ni leo, angalieni tu, kwa mara ya kwanza tamasha limenipita
Naomba nitofautiane na wewe.Usajili wa kusuasua unatuchosha mashabiki kindakindaki, wazee au nakosea ? Yaan hata sikuwa nafatilia simba day, kumbe ni leo, angalieni tu, kwa mara ya kwanza tamasha limenipita
Mbona tunaangalia matukio ya uwanja tu hapaKatika kuonesha matukio ya uwanjani Leo hii Tarehe 8-8-2026 Azam TV wamezingua,sijui ni kwa bahati mbaya au makusudi.
Wamekua wanaonesha mahojiano Zaidi nje ya uwanja,badala ya kuonesha matukio ya ndani ya uwanja ili watu waweze kuona burudani za uwanjani na jinsi watu walivyojaa.
Hali hii imekua ni tofauti na matasha ya Simba ya miaka iliyopita.
Tukubali tukatae uwanjani Kuna matukio mengi mazuri na ya kuvutia kuliko kuhoji watu Nje ya eneo la shughuli.
Kama sio hujuma basi aliepanga mtindo huo wa kuhoji watu zaidi nje ya uwanja ,amehusika kuwaharibia Simba sherehe husesan kwa watazamaji wa kwenye TV.
Kumbuka idadi ya watu na matukio ya burudani Yana enda duniani kote na Yana ujumbe maalumu katika medani za soka.
Yanaitangaza Simba na soka la Tanzania.
Mtoa mada anapenda kulalamikaWaiboresha Simba tv ipatikane kwenye visimbuzi vyote ili iwe rahisi kupeleka mambo yao jinsi wanavyopenda, waache kutegemea Azam TV kwa kila kitu the same kwa Yanga, Azam ibaki kuonyesha mechi za ligi kuu
Acha kabisa,Wanafanya mashabiki tunakua wanyonge kwa usajili wao janjajanja
Ngoja tuone, imani yangu habaNaomba nitofautiane na wewe.
Simba wamefanya maingizo machache dirisha hili.
Simba walifanya usajili mkubwa dirisha dogo ambapo kwa zaidi ya 90% usajili huo umelipa.
Namna timu inavyocheza na hata kutwaa baadhi ya vikombe inaonyesha ni namna gani walifanya usajili bora dirisha dogo.
Ahmed Ally alipowarudisha watu kwenye screen kwa mara ya pili, nilifikiri anatambushwa Feisal au Balaa jingine lolote. Duhhh kumbe Mwalimu.
Ni mwana siasa mzuri sana kawajaza vizuri sana big up kwa kanji.Huyu kanji huyu dahhh