Tamasha la Muziki wa Shukran Bila Rose Muhando ni kuukosea heshima Mziki wa Injili

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
1,160
Reaction score
1,195
Kwa wapenzi wenzangu wa Mziki wa Injili, kesho tar05 Jumapili viwanja vya Tanganyika Packers -Kawe, kutakuwa na tamasha kubwa la mziki wa Injili linaloitwa ' Muziki wa Shukrani, Kila Goti Litapigwa ' lililoandaliwa na E Fm/ Etv.

List ya perfomer n ndefu. Ila kilichonisikitisha n kutokuliona Jina la dada etu Rose Muhando.
Nimesononeka sana. Maana Takosa kuiskia Live ' Shujaa wa Msalaba, Kiatu , Nibebe nk' zilizoimbwa na Rose Muhando.

Yote kwa yote Atakuwepo John Lisu. ' Utukufu na Heshima ' itaskika livee...

Karibuni pia ndugu zangu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…