Tamasha la Muziki wa Shukran Bila Rose Muhando ni kuukosea heshima Mziki wa Injili

Kwa wapenzi wenzangu wa Mziki wa Injili, kesho tar05 Jumapili viwanja vya Tanganyika Packers -Kawe, kutakuwa na tamasha kubwa la mziki wa Injili linaloitwa ' Muziki wa Shukrani, Kila Goti Litapigwa ' lililoandaliwa na E Fm/ Etv.

List ya perfomer n ndefu. Ila kilichonisikitisha n kutokuliona Jina la dada etu Rose Muhando.
Nimesononeka sana. Maana Takosa kuiskia Live ' Shujaa wa Msalaba, Kiatu , Nibebe nk' zilizoimbwa na Rose Muhando.

Yote kwa yote Atakuwepo John Lisu. ' Utukufu na Heshima ' itaskika livee...

Karibuni pia ndugu zangu..

Shida ya huyu dada ukitaka kufanya naye kazi na mnapokuja katika suala la mkataba ni msumbufu zaidi ya Morrison
 
Kwa wapenzi wenzangu wa Mziki wa Injili, kesho tar05 Jumapili viwanja vya Tanganyika Packers -Kawe, kutakuwa na tamasha kubwa la mziki wa Injili linaloitwa ' Muziki wa Shukrani, Kila Goti Litapigwa ' lililoandaliwa na E Fm/ Etv.

List ya perfomer n ndefu. Ila kilichonisikitisha n kutokuliona Jina la dada etu Rose Muhando.
Nimesononeka sana. Maana Takosa kuiskia Live ' Shujaa wa Msalaba, Kiatu , Nibebe nk' zilizoimbwa na Rose Muhando.

Yote kwa yote Atakuwepo John Lisu. ' Utukufu na Heshima ' itaskika livee...

Karibuni pia ndugu zangu..
Kwani Rose aliacha kutumia unga?
 
Back
Top Bottom