Nilijua tu hakuna kitu pale tamasha la kuwaburudisha wananchi lilikuwa ovyo sana ukiangalia kwa makini waliohudhuria ni wachache sio matarajio ,kiasi ya kubadilisha mada na kuliita tamasha la nyimbo za uchaguzi na huku mgeni wa heshima kuambia amehudhuria kwa sapraizi,wanadanganyana wenyewe kwa wenyewe.
Baada ya kuona hakuna kinachoeleweka mgombea Urais Dkt. Hussein Mwinyi akasepa na kujiondokea ni wazi hakuna kilichomfurahisha ,likabakia jimama moja nene sana limevaa nguo za manjano na jamaa moja bonge nafikiri ndie katibu au sijui ni mtu na mkewe wakisherehesha ile sheree,ila yule mama masikini naona amepwerewa kabisa sio kawaida yake yupo calm hana maneno kabisa,ila yule jamaa akijikurupusha kucheza peke yake, akimuangalia Huseini Mwinyi kama atanyanyuka lakini wapi Huseini kauchuna vibaya mno. mpaka anaondoka hata kuwapa mikono.
Zanzibar na kwaya wapi kwa wapi wekeni taarabu. Jana CCM wameaibika vibaya sana na wasanii wao, wasanii wakikatisha nyimbo maana hakuna anaenyanyua mikono wala kupunga wakiona wameletwa kuaibishwa na kuwashusha hadhi,maana unaposema inueni mikono aafu hakuna anaekusikiliza ,utajihisi vipi ni aibu kwao na hakuna uungwaji mkono kwa chama wanachokipiga jeki.