Tamasha la Yanga bila Manara ladoda!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Ndugu zangu Uto,

Kiukweli Manara amewapa funzo kubwa. Tamasha lenu halieleweki limekosa mvuto na promotion mbovu kwasababu Manara hakuweka nguvu na waliopaswa kujipanga na promo wameshindwa hata ku trend kuliko kibegi.

Akina Ali Kamwe hili tamasha limewashinda bora wangeomba back up Manara awape ramani! Sasa leo Simba inafunga usajili kibabe na ndio itakuwa habari kubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kaizer Chief pigeni mshono jioni tucheke vizuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
1. Alikamwe anajua KUTUKANA Matusi kumtukana Mgunda.

2. Anakula ugali na sukari kwa LENGO la kumdhihaki FEISAL SALUM.

3. Anamtukana Hadharani mzazi WA FEISAL.

4. Anajitapa atamkanda Simba. Akakandwa yanga 2-0.

5. Anasema wakichukua UBINGWA WATAPIGA na chopa mitaa ya msimbazi na kombe.
La CUF lakini wapi.

6.Anapromote JEZI No 6 bila kumjua mvaaji kumbe ni sanduku.

7. Akajidai ANATAKA kumuoa Hamisa mobeto wapi.

ALLY KAMWE AMEFELI SANA.
KIUFUPI SIJUI KAMA NYOTA YAKE ITANG'AA NDANI YA YANGA AU NDIO ANAENDA KUPOTEA MAZIMA.

Kwaheli Bangala.
Kwaheli JUMA Shaban.
KWAHERI Mayele.

IRP. WEEK YA WANANCHI.
 
Tunaweza kumbeza Manara lakini kwenye promo ni naturally gifted. Hii Simba yetu kuna kizazi hasa cha vijana ukitoa sisi wa zamani ni product zake. Ndio maana tunamcharura lakini sometimes tunarudi nyuma na kumuacha.

Hili tamasha lao wangemuacha Haji awe behind the scenes lakini asimamie show. Kwasasa Haji ana post kama kutoa lawama tu na akina Ali Kamwe wanaishia kuingia kwenye mfumo wa trend zetu [emoji1787]
 
Natabiri tena kama ilivyokua mwakajana Manara alivyotokea na kutambulisha wachezaji na leo atafanya vile vile alafu utoporooo watazuga kuwa ni "surprise" .Nasubiria TFF watampa adhabu gani manake mwakajana ni kama walifunika kombe tu😆😆
 
Inaonekana Una "mahaba" na Ally Kamwe
 
Hayakuhusu.
 
Nasikia mageti yameachwa wazi bado empty siti nyingi kuliko walioingia [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…