Tamasha la Yanga bila Manara ladoda!

Tamasha la Yanga bila Manara ladoda!

Ndugu zangu Uto,

Kiukweli Manara amewapa funzo kubwa. Tamasha lenu halieleweki limekosa mvuto na promotion mbovu kwasababu Manara hakuweka nguvu na waliopaswa kujipanga na promo wameshindwa hata ku trend kuliko kibegi.

Akina Ali Kamwe hili tamasha limewashinda bora wangeomba back up Manara awape ramani! Sasa leo Simba inafunga usajili kibabe na ndio itakuwa habari kubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kaizer Chief pigeni mshono jioni tucheke vizuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mfateni mume wenu. Mbona limependeza tu bila mtu wenu? Uchawa tu
 
Back
Top Bottom