Tambara: The gorge (2025)

Tambara: The gorge (2025)

Sema movie za mwaka huu sizielewi ase
Hapa naipakua movie yakuitwa PUTIN sijui nayo itakuaje,
Pia kuna RIVER OF BLOOD, Movie imeanza vizuri shida umaliziaji sasa
Hii Putin nitaifatilia na kama hautajali unaweza kunipa dondoo zake kidogo...
 
Hii Putin nitaifatilia na kama hautajali unaweza kunipa dondoo zake kidogo...
Movie iko poa sana, yaeleza maisha yaPutin namambo aliyofanya kabla na baada yakua Rais,
Humo yaonyesha kwasas jamaa anapitia magumu sana kimawazo (Yohana 1:1 umezungumziwa sana huo mstari)

Nawaswas hata yule Rais wetu Pendwa alipitia haya
 
Back
Top Bottom