Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
# 5 inachangia zaidi... mie nimesoma pale A-Level miaka ya 90's mwishoni... hayo mapungufu yalikuwapo tangu enzi hizo lakini kwa kuwa hatukuwa busy na dunia, watu tulifaulu!! Wakati tunasoma hata walimu wenyewe hatukuwafahamu kv kila mmoja ilikuwa na lwake... lakini watu tulifaulu! Hadi leo Second Mistress wetu namfahamu kwa jina la Bi. Mkora... simafahamu jina lake kv hakuwa na time na mimi na wala mimi sikuwa na time nae!!!!THE RISE AND FALL OF TAMBAZA
Sabab za kuanguka
1:headmaster mpya kuna baadh ya walim wanamwangusha kwa makusud kwakuwa ameingilia ugomv asiojua baina ya walim
2:kuna mwalim aitwae Mjuni huyu analudisha shule nyuma NB:huyu ndiye refa alopigwa ktk mechi ya yanga na azam
3:serikali imezisahau nsana shule kongwe
4:miundombinu ya ufundishaj hakuna
5:wanafunz nao social netwoks zimewahalib sn
6;
7:..........
Nmesoma tambaza 2007-2009 ila kimsingi pale hamna shule, walimu hawatosh na hao wachache wanaendekeza kazi za nje so mwanafunz hacpokua m2 wa kujtafutia mwenyew imekula kwake.
Kubal ukatae utandawaz umesababishaa