Tambaza vs Azania (that Infamous Battle)!

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
2,428
Reaction score
3,937
Nipo hapa nimeboreka, najaribu ku-reminisce matukio mbalimbali ya maisha yangu. Wangapi hapa walishuhudia hii shughuli kwa namna moja ama nyingine? Unakumbuka nini kuhusu tukio hili?
 
Nipo hapa nimeboreka, najaribu ku-reminisce matukio mbalimbali ya maisha yangu. Wangapi hapa walishuhudia hii shughuli kwa namna moja ama nyingine? Unakumbuka nini kuhusu tukio hili?
chanzo kilikuwa ni kuonyeshana ubabe kitaaluma pamoja na 'uroho' wa wanafunzi wa azania kutaka kuchukua mademu wa tambaza. unajua azania (ya zamani) ilikuwa fiti sana sasa walikuwa wanawaburuza tambaza na pia wanawachapia 'mashori' wao. vijana wa tambaza nao wakawa hawakubali teh teh teh wanaishia kujitutumua na matokeo yake 'ngumi jiwe'...
 
I guess azania ingekuwa shule ya mchanganyiko wakati ule ingepunguza mgogoro, vijana walikuwa na upweke, huku watoto wa jangwani wanawaona kwa mbali......Kwa mtazamo wako kimpira nani alikuwa zaidi kwa sababu mgogoro ulifikia kilele chake wakati wa mashindano ya shule za sekondari, kama kumbukumbu zangu zipo vizuri.
 
Tambaza was always first. Hata kwa visura wa Jangwani Tambaza tulitamba.
 
Sisi Tambaza tuliwabonda sana nyie Azania

mchanga wa macho!....wee si ulisema umesoma shaban Robert?..how come tena ukasoma Tambaza?....juzi hapa kwenye matangazo uliandika unamtafuta shori mmoja ulisoma naye shaban robert ulikuwa unamtamani lakini unakufa kisabuni||
 
Aaaah Cuppy nini tena...
 
No Mr wangu alisoma Pugu,so huwa ananisimulia,anasimulia kuwa enzi hizo baada ya mechi ambayo Tambaza wamefungwa,ilikuwa fimbo na mawe kwa kwenda mbele!!
 
Nasikia mnaa Hawanga kajifia zake, kweli?
 
Aaaah Cuppy nini tena...

Curious!....

I know a lot of guys waliosoma tambaza kuliko azania...I think Azania wengi walikuwa ni john kisomo...walikuwa washamba sana compared to Tambaza walikuwa so bad boys na si unajua wanawake wanapenda sana bad boys...they treat you good man!.....

Nasikia mnaa Hawanga kajifia zake, kweli?
Hawanga?...profesor Hawanga wa UDSM?....Kama ni yule mama yes alifariki a while ago.....unless UNAZUNGUMZIA MWINGINE...
 
Lol...you like bad boys huh? You like the ones who are rough on the edges...that don't mind pulling hair every once in a while...
 
Lol...you like bad boys huh? You like the ones who are rough on the edges...that don't mind pulling hair every once in a while...

Yes all of the above!...i love them bad boys strong hands siyo mwanamume mzima anakuwa na soft hands kyeruuuu!.....
 
Cuppy what is "kyeruuuu"? Kinyalu hicho au?

No cuppy Kyeruuuuuu ni alama ya mshangao kwa wachaga....

wachaga wanashangaa vibaya sana cuppy hujawahi ona?..nipo surrounded na marafiki wengi wa kichaga,kisukuma,wapare na wahaya...yaani hadi mila na desturi za kinyalu nasahau....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…