Tambi za mayai

Tambi za mayai

Duuh Kumbe Ritz ni mpishi mzuri
Nilijua wewe ni mzee wa masiasa tu

Ngoja nikawapikie watoto jioni hii
Thank you vere much
 
Last edited by a moderator:
For the first time nmejipkia chakula kitamu. Ritz asante.
 
Last edited by a moderator:
Mmmh yani nimeona tu picha hapo, mate yashajaa mdomoni

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Thanks Ritz hii menu nimewatengenezea Jmos na Jpili naona wameipenda hasa maana wao ndio waliomba nirudie
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom