Nimeona video ya show ya Kiba kwa Milard Ayo mwishoni kawapandisha jukwaani Joketi na Wema Sepetu. Dah, yani aibu naona Mimi. Hawa kinamama wanajidharirisha bure. Wenyewe sijui hawaelewi kama huyo Wema sijui ndio kavaa nini na mitako yake kama maboya. Kwani hawana ndugu hapa mjini?