Tambua aina za power (nguvu) katika jamii na ujue wewe upo wapi

MtotoKautaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2018
Posts
993
Reaction score
2,045
Tuwe pamoja moja Kwa moja naenda kutiriria, karibu sana.

AINA ZA POWER (NGUVU) KATIKA JAMII.

1. Informational power
Hii ni nguvu itokanayo na mtu kuwa na uwezo wa kupata taarifa au mtu kuwa na taarifa sahihi juu ya kitu flani ambacho ni cha muhimu kwa jamii. Mf dalali, huyu mtu ana taarifa sahihi juu ya kitu unachokihitaji labda kiwanja, nyumba, gari and so forth. Hii humpa mtu nguvu katika jamii na itapotea au kupungua endapo mtu atakosa taarifa sahihi kwa wakati sahihi na atakuwa na muendelezo mbaya katika utaratibu wake.

2. Expert power.
Hii inatokana na ujuzi au fani ya mtu. Mfano mwalimu ana ujuzi wa kufundisha, dokta ana ujuzi wa kutibu, n.k. Ujuzi au fani humpa nguvu mtu husika katika jamii. Na ni ngumu kuiondoa labda mtu afe, augue au akose ufanisi mzuri kazini.

3. Legitimate power.
Hii inatokana na cheo cha mtu katika jamii. Mf mwenyekiti wa kijiji, meneja, Rais, n.k. Hii muda wowote inapungua au inaondoka kabisa hasa pale mtu anapotoka madarakani au anapofanya kazi zake isivyofaa

4. Referent power.
Hii ni nguvu ambayo mtu anaipata kwa kuwa na uwezo wa ku inspire watu wengine. Mf mentor au kiongozi flan ambaye anakuwa admired na watu wengine katika jamii. Hii hupungua au hupotea kama mtu atakosa ufanisi, au atafanya au kufanyiwa mambo ambayo yatamchafua kitaswira na kushindwa kuishawishi jamii kumuamini tena Kwa mara nyingine.

5. Reward power.
Hii hutokana na mamlaka aliyonayo mtu katika kumchagiza, kumzawadia au kumpongeza mtu mwingine katika jamii. Mf tunzo na motisha ya mfanya kazi bora.

Nb. Sijataja zote, zipo zingine unaweza ziongeza kwenye comment.

JITATHIMINI WEWE UNA POWER GANI KATIKA JAMII AU KATIKA FAMILIA YAKO.
 
Power kula pombe kwenye jamii!
 
Chawastic Power.

Nguvu au kipaji cha kua chawa
 
Back
Top Bottom