Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Mafisadi na Walevi wa utajiri wana akili sana sana. Akili ya kawaida ni kwamba Dhamira kuu ya SGR ilikuwa kupunguza kero za Usafiri wa barabara katika kukuza uchumi na maendeleo.
Hivyo ilifaa SGR iwe mbadala wa Usafiri wa barabara Kwa abiria na mizigo kama namna ya kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi.
Hawa matajiri wanaomiliki mabasi na malori ndio wenye nchi na wenye ushawishi kwa Serikali hii na wana nguvu kweli kweli. Wapo Viongozi wafanyabiashara. Hawangeweza kujichimbia kaburi shindani kibiashara, Kumleta mshindani Kwa hiari hawapo Kwa ajili ya uchumi jumuishi.
Sina hakika kama agenda au maamuzi ya mpito.
Kwa maana viwango vya nauli za SGR vinaonesha wajanja wamefuta ushindani wa SGR dhidi ya usafiri wa barabara.
Kwa namna ilivyo Sasa Kwa viwango vya nauli SGR ni mbadala Usafiri wa Ndege (Anga).
Dhamira halisi imekufa kibudu.
Hivyo hata kiwango Cha uwekezaji wa vichwa na mabehewa vitakuwa duni maana utashi haupo tena.
Ni aibu sana sana na huu mtego unaenda kuwa ni laana mnyumbuliko na mtambuka kama hawata jisahihisha.
sioni hoja ya creation of a new service for a given type of any growing market segment.
The obvious is creation of a non competing threat, substitute product or service.
Primarily this is huge suicidal to our economy.
Nitajibu na kuongeza maelezo kwenye kujibia comments na Maswali
.Nina hasira ila acha nicheke tu
hahaaa pwapwa twatwaaaaa.!! Tumepigwa Ndoige
Ni hayo tu