Tambua asali halisi kwa njia hii rahisi kabisa popote utakapokuepo

Darasa tosha hili, thanx! Naomba kujua namna ya kujua VITUMBUA feki na original, nimeteseka sana kwa hili jambo!
 
Njia nyingine ni hii:
Chukua njiti ya kiberiti ipake asali kwenye baruti. Chukua njiti nyingine iwashe kisha sogelesha kwenye njiti ya asali. Ikiwaka ujue asali ni halisi.
Ni kweli kabisa mkuu,hii njia hata mimi nilishajaribu kuitumia!
 
Ofisini kwangu kuna bi dada mara kwa mara huwa anaenda TABORA na kutuletea asali, nimekuwa mteja wake kwa muda mrefu saana, hii shule ya leo naenda kuanza na asali yake practically!
 
Njia ya tatu: chukua kipande cha gazeti, weka tone kubwa la asali halafu likunje na kuminyaminya kwa dakika moja hivi. Ukiona upande wa nje wa gazeti haujaloana basi hiyo ni asali halisi kwa maana ya haijachemshwa.
 
Kaweka namba ya simu kwa anayetaka kujua hivyo vyote!!!
kuweka simu ni muhimu lakn pia tangazo lililokamilika ni muhimu ili kukata kiu ya maswali mepesi ambayo hayahitaji gharama kama za simu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…