Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vifaa hivi vinapatikana wapi mkuu?Maziwa nunua kifaa kiitwacho lactormeter kwa sjili
Ni kweli kabisa mkuu,hii njia hata mimi nilishajaribu kuitumia!Njia nyingine ni hii:
Chukua njiti ya kiberiti ipake asali kwenye baruti. Chukua njiti nyingine iwashe kisha sogelesha kwenye njiti ya asali. Ikiwaka ujue asali ni halisi.
Teh teh teh!siamini macho yangu,mkuu unaongelea vitumbua gani?Darasa tosha hili, thanx! Naomba kujua namna ya kujua VITUMBUA feki na original, nimeteseka sana kwa hili jambo!
Teh teh teh!umemtendea haki!Shukran mzizimkavu umenifungua kdg akil
Darasa tosha hili, thanx! Naomba kujua namna ya kujua VITUMBUA feki na original, nimeteseka sana kwa hili jambo!
kuweka simu ni muhimu lakn pia tangazo lililokamilika ni muhimu ili kukata kiu ya maswali mepesi ambayo hayahitaji gharama kama za simu!!!Kaweka namba ya simu kwa anayetaka kujua hivyo vyote!!!