Elisha Chuma
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 282
- 275
Asilimia kubwa ya wateja wako ni watu baki,usianzishe biashara kwa kutegemea marafiki zako ama watu unaowafahamu kuwa ndio wateja wako wakubwa.
Tamaduni zetu zimetufundisha kumheshimu na kumlinda rafiki yako hata akikosea unaweza kuficha baya lake,hivyo mara nyingi hatutumii vitu vyaa watu tunaowafahamu sababu ya matokeo ,ila akitumia mtu baki ba kuleta matokeo mazuri wote hugeuka kuwa wateja
Usihudhunike kwa kuona watu wako wa karibu hawatumii bidhaa zako ama hawakusuport sana ni tamaduni ambayo tumeirithi ila taratibu kadri utakavyoonesha ukomavu na nia ndivyo watakavyokuwa wateja wako na mabalozi wazuri.
Jifunze kubaki na fahamu chanya hata katika kipindi ambacho unajihisi uko kwenye wakati hasi,akili yako na ufahamu ndio muhimili wako usiuharibu kwa mawazo hasi.
Stay positive.
Sent using Jamii Forums mobile app