Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Saratani hii hutokea kwenye tezi ya thyroid iliyopo sehemu ya mbele ya shingo ya mwanadamu ikiwa na sehemu mbili (lobes) moja kila upande wa shingo nahuwapata watu wa umri mbalimbali, kuanzia watoto mpaka watu wazima.
Watu waliowahi kupigwa mionzi sehemu ya mbele ya shingo na wenye wazazi wenye tatizo ili wapo katika hatari kubwa ya kupata aina hii ya saratani.
Dalili
Dalili hutofautiana kulingana na aina ya saratani, ingawa kiujumla zaweza kujumuisha:
kikohozi
Shida wakati wa kumeza chakula, vinywaji hata mate
Kuvimba kwa tezi ya thyroid
Mabadiliko katika sauti, sauti kufifia au kuwa ya mikwaruzo
Uvimbe kwenye shingo
Tezi ya thyroid kuwa na nundu au vinundu