Tambua mifumo mikubwa inayofanya watanzania kuendelea kuwa masikini!

Tambua mifumo mikubwa inayofanya watanzania kuendelea kuwa masikini!

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Masikini wataendelea kuwepo lakini ujue masikini ni mtaji wa matajiri. Tajiri kamwe asingependa masikini ajikwamue atoke kwenye umasikini, hivyo mifumo imetengenezwa kuendelea kumfunga masikini ili asione wala kusikia ukweli kuhusu hali yake ya umasiki na akijaribu kujitambua na kupambana atakutana na mifumo ifuatayo kumrudisha nyuma:
1. DINI: ni mfumo wa kwanza wa umasikini. Huu mfumo ni kandamizi na wa kinyonyaji na kuteka/kuharibu fikra za masikini
2. Mila na destuli za kaya, koo, kabila na taifa. Hapa ndo chanzo cha nguvu za giza na mizimu na maagano
3. Marafiki
4. Mitaa tunayoishi
5. Mume/mke, kuoa au kuolewa ndani ya umasikini
6. Ajira yenye kipato duni na kuaminishwa na kipato bandia kama biashara ya bodaboda, bar, house girl/boy, ukahaba,
7. ...ongezea ......
 
Back
Top Bottom