Tambua sura za watu hawa na andika majina yao

let the caged bird sings

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2020
Posts
3,699
Reaction score
8,857
Mimi nimetambuwa hawa kwa haraka haraka.

JESUS
Mao
Mandela
Michael Jackson
Che Guavara
Einstein
Queen Elizabeth
Martin Luther
Bob Marley
Musolini
Mohammad Ali
Bruce Lee
Dalai Lama
Kobe Bryant

Namuona Mjerumani aliechafua hali ya hewa enzi hizo kipenzi cha putin (Hitler).

Muamar Gaddafi
Mahatma Gandho
Bhudha (dini ya amani)
Chaplin
George Washington
Issac Newton

 
Ukiachana na Che huyo mwingine mwenye Gwanda n nani?
 
C
Chaplin

M.jordan

M.Ali

N.Mandela

Lenin

Da vinci

Napoleon

Bob marley

Guevara

Lincolin

Shakespeare


M.Gandhi

Dalai lama

Q.Elizabeth

Einstein

Newton

J.Ceaser

Alexander the Great

Bruce Lee

Wako jako

Hitler

Yeshua

Mao

Sidharta Guatama

M.Luther
.......
 

Ungejumuisha na kina Kingai, Mahita, Goodluck, Jumanne, Swilla na wenzao tuendelee kuwafahamu wasiojulikana hawa waliowahi kuitikisa nchi.
 
Kati ya Mao na Dalai lama ni Gadafi au Sadam?
 
Ungejumuisha na kina Kingai, Mahita, Goodluck, Jumanne, Swilla na wenzao tuendelee kuwafahamu wasiojulikana hawa waliowahi kuitikisa nchi.

Hao majina yao yapo Lumumba.
kingai Kiboko ya makomando wa Tz๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Sidharta Guatama, umemtaja ndiyo nikakumbuka.
uko vizuri
 
Unaitambuaje sura ya Jesus wakt wake teknolojia ya picha ilikuwepo halaf mwandish acha kumdhalilisha Mungu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ