Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Nimemuona Galileo galilei....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mimi naona picha tu ya makatuni?Mimi nimetambuwa hawa kwa haraka haraka.
JESUS
Mao
Mandela
Michael Jackson
Che Guavara
Einstein
Queen Elizabeth
Martin Luther
Bob Marley
Musolini
Mohammad Ali
Bruce Lee
Dalai Lama
Kobe Bryant
Namuona Mjerumani aliechafua hali ya hewa enzi hizo kipenzi cha putin (Hitler).
Muamar Gaddafi
Mahatma Gandho
Bhudha (dini ya amani)
Chaplin
George Washington
Issac Newton
View attachment 2158625
hizo katuni ndiyo mtihani wenyewe.Mbona mimi naona picha tu ya makatuni?
😳😳😁Kiboko cha makomando ananywea kuliko panya alomwagiwa maji?
Umempima mapigo ya moyo baada ya kusikia Mama halidhishwi na utendaji wa jeshi la polisi?