Baba Vladmir
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 373
- 627
Hii ni changamoto ya afya ya akili watu huita Kichaa (Mental health challenge)
Mania ni changamoto ya afya ya akili ambayo mhusika huwa na dalili nyingi zikiwemo kuvaa mavazi ya kumelemeta , usafi kupita kiasi, kupenda ngono kuliko kawaida (sexual disinhibition) na hata kupenda sifa za kupitiliza , kujisifu na kupenda kusifiwa(Grandiosity,anaweza kuzua taharuki hata kuibua kashfa fake ili aonekane mwamba), huongea sana na huwa na furaha iliyopitiliza (Euphoria).
Mara nyingi ana uwezo akili na hutunza kumbukumbu mbaya kwa muda mrefu. Hashindwi na jambo lolote (Indomitable).
Kwenye magroup hasa ya jamii atapenda kuwa juu ya kila mtu. Pamoja na hayo wana juhudi ya kazi kupita viwango vya kawaida (Hyperactivity) na hii ndo faida yao kubwa.
Asipopata msaada huingia kwenye msongo wa mawazo (Bipolar disorder) hapa anakuwa na phase ya ukimyaa then ya kuongeaaaaa. Akiwa mkimya huhisi watu wanamsema vibaya , kusikia au kuona vitu ambavyo kiuhalisia havipo(Hallucinations).
Namna ya kumsaidia siyo kumtenga tunadili naye kwa kukaa naye 💪 , Pili , japokuwa ni maumivu tiba ya sindano ili kumtuliza kabla ya matibabu endelevu.
Wengine hukataa kama wana tatizo, baadhi ya dawa mfano modicate injections hupewa ili kumfanya mhusika atambue kuwa ana tatizo.