Tambua wakati mzuri wa kutafuta mwanamke wa maisha!

Tambua wakati mzuri wa kutafuta mwanamke wa maisha!

Sio zama hz aisee, unamkubali mwanaume hana kitu, unamsaport kwa kila hali, hela za nauli za kwenda kwny interview unamtafutia hata kwa kukopa, unamsaidia kutafuta matangazo ya kazi, kuaply, kusaka vibarua huku na huku, lkn akishainuka na kupata ajira na hela basi wewe unaonekana screpa!!! Anaanza kushoboka na wavaa mawigi wanaojua kujichubua na kutumia hela wasizozitafuta!!!! Mwisho wa siku anakubwaga kweupe na kashfa juu ati wewe sio hadhi yangu...wasengerema kweli hawa viumbe.
Sio wanaume wore wapo hivyo jamani
 
Siku hizi ukioa Kama bado hujajipata kugongewa mke Ni nje nje
 
Back
Top Bottom