Taarifa njema kwa wapenzi Wa yanga, mshambuliaji wao wa kutegemewa Amisi Tambwe yupo fiti katika kuikabili kagera hapo juma mosi baada ya kuwa nje kwa muda mrefu akisumbuliwa na goti. Ngoma bado hajawa fiti but the next match will be present. Karibu wote kaitaba