Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
escalator pia imekufa!lol!imeniuma sana hii kitu juzi kati hapo.wadogo zangu ambao wanasoma physics hata huko dar watakuwa wanaiangalia tu kwenye NELKON!lol!
it hurts me a lots bana
Hilo li eskaleta mboni limekufa siku nyingi tu!
Kuna mtu mwenye abbreviated CV ya huyu Hiza? Invisible? Anyone?
1. He is prostituting himself kama alivyozoea!
2. Mbona wanene hivi? Afya mbovu!
wrong move on TAMBWE HIZA na CCM
Rule number 1: You dont pick a fight you cant win na hii ya kupick a fight na Mwanakijiji sidhani kama watamweza kwani mwenzao muda wa kujibizana na supporting data anazo..wao wameamua kumpeleka Tambwe kukabiliana naye duh!
Hawa hata hawakuona jinsi Bush alivyokwepa kiatu,angekuwa kama hawa siku ile ingekuwa balaa
Sasa unategemea nini kutoka kwa watu kama huyo Hiza na kiranja wake Makamba?
Hawa hata hawakuona jinsi Bush alivyokwepa kiatu,angekuwa kama hawa siku ile ingekuwa balaa
ni LEUTEN!Makamba naye ana elimu gani?
Unajua mambo ya fitness Tanzania hayako kama yalivyo Nyamwezi aisee. Bush alikuwa anapiga chuma mwenzenu. Hata Obama naye anapasha vile vile.
Kwa ujumla wabongo wengi mambo ya fitness yamewakalia kushoto. Wakikuona mtu unapiga chuma wanaanza kukuita eti baunsa. Hawajui hata nini maana ya neno "bouncer". Ovyo kabisa.
Dubya yuko fiti, Obama naye yuko fiti si unaona mara kwa mara anashoot hoops na marines. Bongo ukiwa na mtumbo kama fuko la rambo si ndio unaonekana una mapesa.
ni LEUTEN!
huo muda anao?wenzie wanapiga pull-over kama hawana akili nzuri!Nasikia Bush alikuwa ana push two 45lb. plates on each side which equals 225 lbs.! That's impressive for his age. Kikwete hata 45lbs moja kila upande nina shaka kama anaweza hata kuitoa kwenye bench
huo muda anao?wenzie wanapiga pull-over kama hawana akili nzuri!
Ngabu,vipi Dumb-bell unainyanyua ya weight gani?
unaenda vizuri kidogo!vipi fly-over?unaenda weight gani?Mimi niko stage nyingine kabisa. Incline dumbell press napiga hadi 110 lbs. each....nimeanza zamani babu.
unaenda vizuri kidogo!vipi fly-over?unaenda weight gani?
unajitahidi kidogo,tell me weight yako in kgs now!naona unajitahidi walau............Flyes natumia smith machines. Mimi mtu was basics exercises. Flat bench press, Incline bench press, decline bench press mara chachechache. Barbell curls (hususan 21 system) kwa biceps. Alternate dumbell curls kwa biceps. Close grip bench press kwa ajili ya triceps na lying ez barbell extension.