hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Tamesa tafadhari waangalieni wakazi wa kigamboni Kwa jicho la huruma,
Nao pia ni watanzania. Kivuko kinakaa upande mmoja 1hour?
Tumeingia kwenye kivuko saa sita Kamili mpaka saa saba kivuko hakijatoka hii ni haki kweli?
Mpaka watu wanalala wanasinzia wanaliwa na mbu na wadudu wa Bahari
Sidhani kama ni Sawa Kwa kweli
Mafuta ya serikali, sasa mnabana kitu gani? Watu wametoka kanisani wako na watoto wanawekwa saa mzima pale feri
Huo mwendo wenyewe wa usiku pantoni inatembea kama Mtoto anatambaa. Yani ukanaa saa mzima kwenye kivuko na unakaa tena 30mn kwenye maji
Not fair kabisa