neyl Senior Member Joined Nov 23, 2011 Posts 127 Reaction score 19 Jan 25, 2012 #1 habari, samahanin mwenye uelewa kuhusu tamico ni ofis inayoshughulika na nin, na mahali ilipo ofisi zake
habari, samahanin mwenye uelewa kuhusu tamico ni ofis inayoshughulika na nin, na mahali ilipo ofisi zake
Idimulwa JF-Expert Member Joined May 27, 2011 Posts 4,944 Reaction score 2,459 Jan 25, 2012 #2 neyl said: habari, samahanin mwenye uelewa kuhusu tamico ni ofis inayoshughulika na nin, na mahali ilipo ofisi zake Click to expand... Ni chama cha kutetea haki za wafanyakazi wa migodini/sekta ya madini kwa ujumla wake na ofsi zinapatika kuanzia matawini,mawilayani,mikoani hadi taifani
neyl said: habari, samahanin mwenye uelewa kuhusu tamico ni ofis inayoshughulika na nin, na mahali ilipo ofisi zake Click to expand... Ni chama cha kutetea haki za wafanyakazi wa migodini/sekta ya madini kwa ujumla wake na ofsi zinapatika kuanzia matawini,mawilayani,mikoani hadi taifani