Tamico

Tamico

neyl

Senior Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
127
Reaction score
19
habari, samahanin mwenye uelewa kuhusu tamico ni ofis inayoshughulika na nin, na mahali ilipo ofisi zake
 
habari, samahanin mwenye uelewa kuhusu tamico ni ofis inayoshughulika na nin, na mahali ilipo ofisi zake

Ni chama cha kutetea haki za wafanyakazi wa migodini/sekta ya madini kwa ujumla wake na ofsi zinapatika kuanzia matawini,mawilayani,mikoani hadi taifani
 
Back
Top Bottom