Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Nimepata kukutana na hii picha kutoka mtandao wa X kutoka kwenye ukurasa rasmi ya TAMISEMI kiukweli nimepata hasira na kuona watanzania sijui huwa tunafikiria nini? Ukweli tunauficha kwenye uvungu na kuhubiri uongo, kwa sababu ya kulinda ugali na uchawa uliopitiliza.
Kuna shule zipo kwenye hali mbaya na kila mtanzania anafahamu hilo ila TAMISEMI inataka kutuaminisha kuwa shule zote zipo hivi. Hakika tuna watendaji wa ajabu kuwahi kutokea.
Kuna shule zipo kwenye hali mbaya na kila mtanzania anafahamu hilo ila TAMISEMI inataka kutuaminisha kuwa shule zote zipo hivi. Hakika tuna watendaji wa ajabu kuwahi kutokea.