TAMISEMI: Ajira tumezipokea ila watendaji huku wanaharibu

TAMISEMI: Ajira tumezipokea ila watendaji huku wanaharibu

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
kwanza posho ya kujikimu haieleweki mikoa baadhi wamepewa za siku saba na nauli zao kwingine wamepewa za siku tatu nauli hawajapewa jingine baadhi ya mikoa walimu ngazi ya shahada waliokuwa hawana transcript na vyeti bali wana provisional result wamepokelewa kwingine wamepokelewa na vituo wamepangiwa na mkataba wamejaza na posho wamewapa ila wamewambia hatuwapi mshahara mpaka mlete vyeti sasa si ujinga hu kama hana vigezo si mngektaa mpokea yani afanye kazi alafu mshahara asipate yani mambo yanaenda kiujanja ujanja as if tupo nchi tofauti.
 
Usiumize kichwa mwalimu, FUNDISHA KADRI UNAVYOLIPWA (FUKU).
Imewezekana kwenye umeme, kwa nini ishindikani elimu?
 
Back
Top Bottom