TAMISEMI: Bado Afisa Elimu msingi Moshi manispaa yupo ofisini baada ya kuuzia saccos eneo la shule?

TAMISEMI: Bado Afisa Elimu msingi Moshi manispaa yupo ofisini baada ya kuuzia saccos eneo la shule?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Tunakoelekea tume fila mahali sasa watumishi wa Umma Wanafanya watakalo na hafanyiwi chochote,

Je TAMISEMI mama ANJELA KAIRUKI Unafahamu maeneo ya Taasisi Za Umma Mfano maeneo ya shule Za msingi Za serikali yanauzwa?

Kama Bado Afisaelimu mtajwa hapo juu yupo ofisini hadi leo kuna kila sababu SAMIA anafanyiwa hujuma na ccm Pamoja na watumishi wa Umma Ili 2025 akachunge Mbuzi Unguja.
 
Mbona walisema hapa kua hatafanywa kitu na zile tuhuma zote na kwamba mnapoteza muda
 
Back
Top Bottom