TAMISEMI bado kimya

TAMISEMI bado kimya

Kuhusu ajira tulisikia kuwa kibali kimeshatoka kwa Rais, sasa mbona bado wapo kimya wakati tunakaribia mwaka wa kiserikali na bajeti mpya kuanza kazi
Hatuna imani ya kupata ila tunafarijika tukisikia tangazo
 
Wakati makonda ni katibu muenezi wa CCM,, nilikuwa nashangaa sana kwanini watu wanaenda kwenye ile mikutano na kumuelezea Makando shida zao ??.. yani kwanini wanamuamini sana kuwa yeye ndiyo mtatuzi wa kero na shida zao ??
Mfano
Kwenye mkoa fulani,,, nilishuhudia mzee mmoja mstaafu ,, akiwa jukwaani akimuelezea Makonda kuwa,, hajapata kulipwa mafao yake yapata miaka 20 sasa toka alipostaafu,,, nikabaki na maswali mengi sana,, Makonda anausika vipi na mambo ya wastaafu ??,, Makonda ni mkugurugenzi ?? Makonda ni mtendaji wa serikali ?? .. okay katika maswahili hayo majibu yotee yalikuwa hapana ...

Lakini baadae nilikuja kupata majibu yakuwa..

Wananchi wengi, hawaamini tena kauli za viongozi wao,, yani wanachi wanachukulia kauli nyingi za viongozi wao ,, kuwa ni za kihuni tu ,, ni kauli zisizotekeleza ,, nikauli za kuwaadaha tu ,,
Mfano ..

Raisi wa awafu fulani ,, yeye alistopisha ajira akaanzisha zoezi la ukaguzi wa vyeti feki,, huku akiwataka wananchi wawe wapole kwani pindi tu zoezi lile litakapofika tamati ,, ajira na mambo mengine yangeendelea kama kawaida,, huwezi amini baada ya pale ilipita zaidi ya miaka 3 raisi yule hakuajili wanachi wake na mwishowe aliwataka wananchi wake wajihajiri wenyewe,, kwani serikali haiwezi kuajili raia wake wotee..
.
Waziri mkuu mmoja ,, wakati fulani alisikika ,, akiwaambia wananchi kuwa raisi wao ni mzima wa Afya na yupo ikulu anapiga kazi kweli kweli ,, lakin ukweli kwa wakati huo raisi huyo azungumziwaye hapo alikuwa tayari yumarehemu ,, mauti ishamfikia kitambo tu ..

Wakati fuluni ,, ilikuwa mwezi wa kwanza ,, waziri fulani pia ,, alisikika kwenye jukwaa ,, akiwaambia wananchi wake kuwa katika mwaka huo wa fedha ,, serikali inatizamia kuajili watumishi 12,000 katika kada ya ualimu na ajira zaidi ya 8000 kada ya Afya na ajira hizo zinatizamiwa kutoka mwishoni mwa mwezi wa pili kwani raisi wa nchi katika awamu ile alikuwa amekishwa toa kibari ,,, lakini huwezi amini mbaka unaingia mwezi wa sita ,,ajira zile za uwalimu na kada ya afya hazikuwa zimetoka ,, na hakuna hata kiongozi mmoja wa serikali aliejitokeza hadharani kutolea ufafanuzi juu ya jambo lile ,, wote walikaa kimya mafichoni huku wakiwaacha raia wao katika rindi zito la maswali .. mifano bado ni mingi siwezi kuandika yote

Sasa basi ,, nikajuwa wananchi wamepoteza imani na kauli za viongozi wao ,, sasa imefika mahali wamezalisha imani hata kwa watu wasiohusika mfano Makonda ,, hii haijengi picha nzuri kwa serikali inayojinadi inatumikia wananchi ,,, ipo siku mtu mmoja ambaye wananchi wana-mwamini sana anaweza tumia mwanya huo kufanya mapinduzi fulani na kupata kinga ya raia wanaomwamini na kuingiza nchi kwenye machafuko mabaya sana ,, usiseme haiwezi kutokea ,, labda niwakumbushe hata Hitler alitokea kwa namna hii hii. .. serikali iache kauli za uongo kwa raia wake haipendezi ..
 
Mbona hizo ajira zimetangazwa utumishi kaombe huko
Atumishi zimetangazwa na wizara ya Elimu ,, na ni ajira 147 tu kama sijakosea ,, na zenyewe kwa kiasi kikubwa zitanataka watu wa diploma , kwa ni degree ni phisikia na hesabati ndiyo wepewa kipaombele ,, kama hautokuwa na sifa tajwa ,, mojankwa moja mfumo unakukataa.
 
Atumishi zimetangazwa na wizara ya Elimu ,, na ni ajira 147 tu kama sijakosea ,, na zenyewe kwa kiasi kikubwa zitanataka watu wa diploma , kwa ni degree ni phisikia na hesabati ndiyo wepewa kipaombele ,, kama hautokuwa na sifa tajwa ,, mojankwa moja mfumo unakukataa.
Kabisa nimezipata hizo
 
Back
Top Bottom