DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Habari wana jamvi
Nasikitika kusema kwamba leo nimekesha usiku kucha for nothing, mfumo wa maombi ya ajira haufunguki na hata ukifnguka mzigo una load tu bila response yoyote.
Jana nilijua labda pengine ni kwaajili ya watu wengi kuutumia mchana nikasema usiku nitakesha nimalize kila kitu lakini sijafanikiwa.
Tunaomba TAMISEMI waboreshe mfumo huu unless deadline itafika na watu hawajafanikiwa kutuma maombi
Nawasilisha