Wakati unasema nita test usiku kuna graduates kama laki hivi nao wanasema tutatest uh siku.habari wana jamvi
nasikitika kusema kwamba leo nimekesha usiku kucha for nothing, mfumo wa maombi ya ajira haufunguki na hata ukifnguka mzigo una load tu bila response yoyote. jana nilijua labda pengine ni kwaajili ya watu wengi kuutumia mchana nikasema usiku nitakesha nimalize kila kitu lakini sijafanikiwa.
tunaomba tamisemi waboreshe mfumo huu unless deadline itafika na watu hawajafanikiwa kutuma maombi
nawasilisha
habari wana jamvi

Yaani ni aibu tupu!! Hii Wizara huwa haijifunzi miaka yote. Naona Tamisemi ipunguziwe majukumu. Mambo ya afya yarudi wizara ya afya a mambo ya elimu yarudi wizara ya elimu. Wao wabaki na serikali za mitaa na tawala za mikoa kama ilivyo kuwa zamani. After all swala la mtandao kugoma vigogo wa serikali hawajali kwani watoto wao wamewapeleka Takukuru.habari wana jamvi
nasikitika kusema kwamba leo nimekesha usiku kucha for nothing, mfumo wa maombi ya ajira haufunguki na hata ukifnguka mzigo una load tu bila response yoyote. jana nilijua labda pengine ni kwaajili ya watu wengi kuutumia mchana nikasema usiku nitakesha nimalize kila kitu lakini sijafanikiwa.
tunaomba tamisemi waboreshe mfumo huu unless deadline itafika na watu hawajafanikiwa kutuma maombi
nawasilisha
nakazia hapaYaani ni aibu tupu!! Hii Wizara huwa haijifunzi miaka yote. Naona Tamisemi ipunguziwe majukumu. Mambo ya afya yarudi wizara ya afya a mambo ya elimu yarudi wizara ya elimu. Wao wabaki na serikali za mitaa na tawala za mikoa kama ilivyo kuwa zamani. After all swala la mtandao kugoma vigogo wa serikali hawajali kwani watoto wao wamewapeleka Takukuru.
we all face the same challenge mkuu ila mwaka jana ilikua chap tu ngoja tuwaulize walofanikiwa kufikisha 100View attachment 2198005
Hakuna options kabisa Kum...
Sasa kuweka mikoa wameshindwa nini, mikoa hata 35 haifiki
Haya hizo councils sasa unaclick kitu kinabadilika rangi tuu napo.
Mfumo wa kidwanzi
Ni mda gan huchukua kwa tamisemi kupitia maombi ya ajira hadi kutangaza walio ajiriwawe all face the same challenge mkuu ila mwaka jana ilikua chap tu ngoja tuwaulize walofanikiwa kufikisha 100